Kitabu changu cha picha

KES649.60

Kitabu Changu cha Picha ni kitabu chenye picha za kuvutia kwa wanafunzi wa chekechea. Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kukuza stadi za lugha kwa urahisi ili waweze kujieleza vyema. Kita ... Read More

Kitabu Changu cha Picha ni kitabu chenye picha za kuvutia kwa wanafunzi wa chekechea. Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kukuza stadi za lugha kwa urahisi ili waweze kujieleza vyema. Kitabu hiki kina picha za rangi ambazo zitavuta na  kuteka makini ya wanafunzi. Picha hizi zimeambatana na maneno. Maneno yameteuliwa mahususi kutoka  katika msamiali wa mada mbalimbali zilizoainishwa kat ...
Read Less   Full Description