Kivuli Kinaishi

KES533.60

Kivuli Kinaishi ni tamthilia iliyoandikwa kwa kutumia dhana ya Giningi; makazi yaliyo ndani ya vichwa vya watu wa Unguja na Pemba na ambayo yanaogopwa sana na kuhusishwa na vitisho na had ... Read More

Kivuli Kinaishi ni tamthilia iliyoandikwa kwa kutumia dhana ya Giningi; makazi yaliyo ndani ya vichwa vya watu wa Unguja na Pemba na ambayo yanaogopwa sana na kuhusishwa na vitisho na hadithi kadhaa. Serikali ya Giningi yenye amri moja tu inaongozwa na Bi. Kirembwe akisaidiwa na wazee. Amali kuu ya Giningi imeonyeshwa kuwa ni ukatili na hivyo kanuni kubwa ni kujaribu kuwatoa watu kuto ...
Read Less   Full Description