Usicheze na Moto 4b

KES261.00

Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kit ... Read More

Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: * Masimulizi rahisi ya hadithi. * Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi. * Kuwapitisha na kuwalea ...
Read Less   Full Description