ZAWADI YA THAMANI

KES423.40

Je, hatima ya maisha ya Nadia ni ipi? Ni zawadi gani ya thamani itakayomwokoa? Je, ni kujiamini kwake au ni ubunifu wake? Je, ni huruma au hisani yake? Je, ni shajara yake inayosema yale ... Read More

Je, hatima ya maisha ya Nadia ni ipi? Ni zawadi gani ya thamani itakayomwokoa? Je, ni kujiamini kwake au ni ubunifu wake? Je, ni huruma au hisani yake? Je, ni shajara yake inayosema yale ambayo moyo wake unachelea kuyasema? Au labda ni Mwalimu Daniela ambaye amefanikiwa kukitegua kitendawili cha maisha yake? Zawadi ya Thamani ni hadithi ambayo imesimuliwa kwa lugha nyepesi yenye ubun ...
Read Less   Full Description