Upeo wa Insha kwa Shule za Upili

KES957.00

Upeo wa Insha kwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana ili kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, ... Read More

Upeo wa Insha kwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana ili kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, utapata: insha zote zilizopendekezwa katika silabasi ya Kiswahili kwa shule za upili maana ya kila aina ya insha miundo ya aina zote za insha sifa bainifu kwa kila aina ya insha umuhimu na tahad ...
Read Less   Full Description