Insha: Hatua kwa Hatua

KES649.60

Insha: Hatua kwa Hatua (Toleo la Pili) ni kitabu ambacho kinawasaidia wanafunzi katika uandishi wa insha bora. Mwanafunzi anachukuliwa hatua kwa hatua ili afikie kilele cha uwezo wake wa ... Read More

Insha: Hatua kwa Hatua (Toleo la Pili) ni kitabu ambacho kinawasaidia wanafunzi katika uandishi wa insha bora. Mwanafunzi anachukuliwa hatua kwa hatua ili afikie kilele cha uwezo wake wa utunzi na kutia fora kwa njia ya: kumpa misingi ya uandishi kutoka maneno, sentensi, ibara na wazo kuu. kumfahamisha juu ya makosa sugu ambayo yanajitokeza katika uandishi wa insha nzuri. kumfafanul ...
Read Less   Full Description