Nyota Ya Rehema

KES690.20

Kwa nini Rehema alizaliwa tofauti na wazazi wake . . . ? Kwa nini alichaguliwa yeye kuwa ni ‘fumbo’ la maumbile . . . ? Na kwa nini alifika duniani pale mama yake alipokuwa kapigwa na bu ... Read More

Kwa nini Rehema alizaliwa tofauti na wazazi wake . . . ? Kwa nini alichaguliwa yeye kuwa ni ‘fumbo’ la maumbile . . . ? Na kwa nini alifika duniani pale mama yake alipokuwa kapigwa na bumbuazi; baba yake yu katika hali iliyoelezewa kuwa huwafanya walioweka ahadi wazivunje, mashujaa wapoteze nguvu zao, matajiri wajione wahitaji, wenye macho wageuke pofu . . . ? Lakini hiyo ndiyo nyota ...
Read Less   Full Description