Swahili Readers: 3f - Furaha ya Arope

KES249.40

Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ili apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuj ... Read More

Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ili apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuja shuleni kwa kina Arope. Mgeni huyu anafanya mambo ambayo yanampatia Arope furaha kubwa. Mwishoni Arope anakuwa 'Arope wa Kitabuni'. Furaha ya Arope ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ...
Read Less   Full Description