Swahili Readers: 6a - Nachora kwa Maneno

KES313.20

Nachora kwa maneno 6a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Sita katika shule za msingi. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa pia ... Read More

Nachora kwa maneno 6a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Sita katika shule za msingi. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa pia na wanafunzi wa Darasa la Saba. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: * Mashairi mepesi yaliyobeba maudhui mbalimbali. * Ubunifu na umahiri wa mtunzi katika kufinyanga lugha na kuipamba kwa ...
Read Less   Full Description