Swahili Readers: 5e - Mashairi ya Wanyama

KES295.80

Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni ... ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhu ... Read More

Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni ... ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia? Kitabu hiki chenye mashairi ya kupendeza kinalenga kuwas ...
Read Less   Full Description