Swahili Readers: 4e- Kalulu na Mti Mkavu

KES261.00

Kalulu anampeleka ng'ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka. Itakuwaje mti uuziwe ng'ombe? Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi ... Read More

Kalulu anampeleka ng'ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka. Itakuwaje mti uuziwe ng'ombe? Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Mradi wa Kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. ...
Read Less   Full Description