Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwalimu 2

KES458.20

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha ... Read More

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha ...
Read Less   Full Description