Swahili Readers: 1 - Maneno ya Mwanzo

KES249.40

Maneno ya Mwanzo ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Ki ... Read More

Maneno ya Mwanzo ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza. Sifa kuu za kitabu hiki ni kama zifuatazo: *Utambuzi wa herufi kuu za alfabeti ya Kiswahili. * Utambuzi wa maneno, hasa nomino na vitenzi. ...
Read Less   Full Description