Kauli ya Leo: Diwani ya Mashairi
- Digital Content
- /
- Kauli ya Leo:...
Uchambuzi wa Mashairi
Diwani ya mashairi ni kitabu chenye mkusanyo wa mashairi. Mashairi hayo yanaweza kuwa ya mtunzi/mshairi mmoja au watunzi mbalimbali. Diwani ya Kauli ya Leo ina mashairi kutoka kwa watunzi wanne (Ahmed Shikuku, Jackson Muraya, Ruth Moraa na Evans Osoro).