Description
Nanjira anajipata njiani tena,wakati huu kutoka mashambani kuelekea Nairobi. Ingawa kumbukumbu za maisha aliyoishi na wazazi wake zinamjia anapopata mjini Naivasha, ana raha ya kwenda kusomea Nairobi. Nani asingefurahia kusomea jijini?
Lakini kile ambacho Nanjira hajui ni kuwa shangazi yake, Mela, ana mpango tofauti. ‘Ah! Shangazi Mela’ ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vianaambatana na kozi ya kiswahili sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.