Description
‘Kiswahili Fasaha’ ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Mwongozo huu wa mwalimu una:
- Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi,
- Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa,
- Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo,
- Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji,
- Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu,
- Nyaraka za kitaaluma,
- Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.
Reviews
There are no reviews yet.