Description
‘Fani ya Fasihi Simulizi’ kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.
Mahitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwa kwa kina.
Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.
Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi.
Assumpta K Matei ni mwalimu mwenye tajriba pana katika ufundishaji wa Kiswahili. Pia ameandika vitabu kadha vya kufunzia lugha na fasihi ya Kiswahili.
Reviews
There are no reviews yet.