Description
‘Fani ya Ushairi kwa Shule za Upili’ ni kitabu kilichofanywa utafiti wa kina kuondoa dhana ya ugumu. Kitabu kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa wa kumfafanulia mwanafunzi utanzu wa ushairi. Kila kipengele cha ushain kimeelezwa kwa npa nyepesi na kwa undani zaidi kwa lengo la kurahisisha uelewekapo.
Mada zote za ushairi kwenye silabasi ya Kiswahili kwa Shule za Upili zimeshughulikiwa kwa kina na mifano anuwai kutolewa. Kila mfano umefafanuliwa kwa undani wa kumpa mwanafunzi mwangaza zaidi katika mada husika.
Mwishoni mwa kila sura kuna maswali yaliyotolewa. Maswali haya yatamwezesha mwanafunzi kupima uelewa wake katika mada alizosoma. Yanatahini stadi zote za ufumbuzi.
Reviews
There are no reviews yet.