Oxford Zidisha Matarajio:Marudio ya KJSEA Kiswahili

ISBN: 9789914449587Author: Ruth Moraa Omache Felix Muhati Martha Waithera Maina Judith Kerubo

KES 900.00

Oxford Zidisha Matarajio: Marudio ya KJSEA ni kitabu cha Kiswahili cha marudio cha shule ya upili, daraja la awali. Kitabu hiki kimeshughulikia kwa kina masuala yote yaliyoainishwa katika mtalaa wa umilisi katika Gredi ya 7, 8 na 9. Kimegawanywa katika sehemu nne kuu: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Matumizi ya Lugha. Katika Kusikiliza na Kuzungumza kuna kusikiliza na kujibu, kusikiliza kwa kina, matini ya kusikiliza, mazungumzo mahususi na tanzu za fasihi. Katika Kusoma kuna kusoma kwa kina, kusoma kwa ufahamu, kusoma kwa mapana, kusoma kwa ufasaha na ufupisho. Katika Kuandika kuna viakifishi, insha ya kiuamilifu, kuandika kwa kidijitali, insha ya maelekezo na insha za kubuni.

Katika Matumizi ya Lugha kuna aina za maneno, vinyume vya maneno, ukubwa na udogo wa nomino, mnyambuliko wa vitenzi, nyakati na hali, ukanushaji, ngeli na upatanisho wa kisarufi, aina za sentensi na usemi halisi na usemi wa taarifa.

Kitabu hiki ni cha kipekee kwa kuwa kimejumuisha mambo yafuatayo:

  • Mazoezi ya kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake katika kila mada ndogo iliyoshughulikiwa.
  • Maelezo ya kina yanayofafanua dhana mbalimbali zilizoshughulikiwa.
  • Vielelezo vya mtihani wa KJSEA vya kumsaidia mwanafunzi kujitayarisha kufanya tathmini za kitaifa.
  • Majibu ya mazoezi na ya vielelezo vya tathmini kwenye msimbo wa QR yanayomsaidia mwanafunzi kudurusu kikamilifu.

Kitabu hiki kinaweza kutumiwa pamoja na Kiswahili Fasaha Gredi ya 7 hadi 9.

Vitabu vingine katika msururu huu:
1. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Mathematics
2. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Integrated Science
3. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Agriculture
4. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Pre-Technical Studies
5. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision English
6. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Creative Arts and Sports
7. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Social Studies
8. Oxford Exceed Expectations: KJSEA Revision Christian Religious Education

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Oxford Zidisha Matarajio:Marudio ya KJSEA Kiswahili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *