Description
‘Nikicheka anacheka’ ni kitabu kinachonuiwa kuimarisha msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa katiko shule za msingi.
Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia nyimbo, vitendawili, picha za rangi za kupendeza na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira tofauti tofauti.
Mradi wa Kusoma ni mfututizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.