Swahili Readers: 2c – Werevu wa Juma

ISBN: 9780195730609Author: A. S Yahya

KES 215.00

‘Werevu wa Jumo’ ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Pili katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Hadithi mbili zenye kufunza utumiaji wa akili.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia vichekesho, mafumbo na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira tofauti tofauti.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 2c – Werevu wa Juma”

Your email address will not be published. Required fields are marked *