Ajali kwenye Matope -2a

ISBN: 9789914446302Author: Rebecca Nandwa

KES 235.00

Soma  Nasi  ni  msusuru  wa  hadithi  zilizoandikwa  kwa  kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi  wenye  uwezo  tofautitofauti  kuimarisha  stadi  za  lugha  walizojifunza  darasani.  Wanafunzi  watafurahia  kuzisoma  hadithi  hizi  kwa  lengo  la  kujiburudisha  na  pia  kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Ajali Kwenye Matope ni hadithi inayoangazia hali ya anga. Beni na Fela wanafunga safari ya kwenda kwa mjomba wao. Wakiwa njiani, wanapata ajali kwenye matope. Je, wanaendelea na safari ya kwenda kwa mjomba au wanafanya nini?

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Soma Nasi ni msusuru wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.

Ajali Kwenye Matope ni hadithi inayoangazia hali ya anga. Beni na Fela wanafunga safari ya kwenda kwa mjomba wao. Wakiwa njiani, wanapata ajali kwenye matope. Je, wanaendelea na safari ya kwenda kwa mjomba au wanafanya nini?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ajali kwenye Matope -2a”

Your email address will not be published. Required fields are marked *