Description
Soma Nasi ni msusuru wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Zawadi ya Tamara ni hadithi inayoangazia msamiati unaohusu shuleni. Siku ya kuzaliwa ya Tamara inapofika akiwa shuleni, wanafunzi wenzake na mwalimu wake wa darasa wanampa zawadi. Je, wanampa zawadi gani?




Reviews
There are no reviews yet.