Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3

ISBN: 9789914444261

KES 600.00

Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3, utapata:

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.

Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwatimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

Buy from Text Book Centre

Description

Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3, utapata:

  • mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
  • mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
  • mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.

Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa umilisi.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *