Description
Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu.
- Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.