Description
Kamusi ya Watoto ina:
- Msingi bora wa maneno kwa watoto wadogo.
- Kamusi ya kuaminika ya kuanzia kujifunza lugha ya Kiswahili.
- Maneno muhimu 1,700 na zaidi ya Kiswahili.
- Maelezo wazi ya maneno.
- Mifano ya namna maneno yanavyotumiwa katika sentensi.
- Zaidi ya picha 700 za rangi kumsaidia mtoto kuelewa maana za maneno.
- Sehemu maalumu ya mchezo wa lugha na mazoezi.
Reviews
There are no reviews yet.