Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu, Gredi 3

ISBN: 9789914444278

KES 550.00

Mwongozo wa Mwalimu

Gredi ya 3

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.

Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 3 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

  • utangulizi wa kina kuhusu Mtaala wa Umilisi
  • muhtasari wa umilisi, maadili, masuala mtambuko na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila suala kuu
  • maelezo kuhusu jinsi ya kushirikisha vifaa vya kidijitali katika ufundishaji
  • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo yatakufaa sana ili kuwawezesha wanafunzi kufaulu katika Mtaala wa Umilisi.

Oxford, mshirika wako katika ufanisi!

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu, Gredi 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *