Kiswahili Dadisi Workbook Grade 3 2024 Ed

ISBN: 9789914447163Author: Oxford

KES 505.00

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa.
  • kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
  • kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
  • Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Grade 3 2024 Ed”

Your email address will not be published. Required fields are marked *