Swahili Readers: 4b – Usicheze na Moto

ISBN: 9780195730715Author: Pamela Ngugi

KES 225.00

Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.

Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 4b – Usicheze na Moto”

Your email address will not be published. Required fields are marked *