Swahili Readers: 4d – Vituko vya Sungura

ISBN: 9780195734508Author: Pauline Kea

KES 225.00

Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za shairi, semi, tashihisi na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kusaidiana na kushirikiana wakati wa shida, stadi za maisha. uwajibikaji, utu, uvumilivu, uadilifu, haki, kuishi kwa utangamano na amani.
  • Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu .

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 4d – Vituko vya Sungura”

Your email address will not be published. Required fields are marked *