Description
Musa anatarajia mambo yamwendee vyema muhula huu, kinyume na masaibu yaliyotawala muhula wa kwanza katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Ana matumaini ya kumwonesha rafiki yake, King Kong, kipenzi chake, Mildred. Hata hivyo, mambo yanaanza vibaya na kutumbukia nyongo. Kwanza, kuna mvutana mgeni, Magara, ambaye ni dhatirnu. Kisha, King Kong anabwagwa kwenye kinyang’anyiro cha kiranja wa bweni. Halafu, Mildred anatoweka. ‘Musa na Mildred’ ni kitabu cha pill katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
Reviews
There are no reviews yet.