Description
Kalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka. Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
‘Kalulu na Mti Mkavu’ ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa Kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.