Swahili Readers: 5a – Embe Tamu

ISBN: 9780195730777Author: Kimani Njogu

KES 255.00

‘Embe Tamu’ 5a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kisomo kwa kutaiza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tano katika shule za msingi.

Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, vichekesho, tashihisi, mbinu rejeshi, taharuki, picha zenye rangi za kupendeza na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya fasihi simulizi, maumbile na sayansi ya mhusika mkuu embe/mwembe, asili ya vitu, pamoja na maadili mema kama vile subira, uvumilivu na wajibu.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 5a – Embe Tamu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *