Swahili Readers: 5d – Safari ya Maskauti

ISBN: 9780195738278Author: Enock Matundura

KES 255.00

Kaendi na nduguye, Mkangi, wanazidiwa na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari yao ya treni inajaa visa na vituko vya kufurahisha. Mkangi na rafikiye, Suleiman, wanapewa jukumu la kuilinda kambi huku wenzao wakiwa wamelala. Mnyama anayeonekana kama simba anatokea na kumshitua Suleiman… ni yapi yatajiri baada ya haya?
‘Safari ya Maskauti’ ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 5d – Safari ya Maskauti”

Your email address will not be published. Required fields are marked *