Swahili Readers: 6a – Nachora kwa Maneno

ISBN: 9780195733167Author: Ali M Rashid

KES 270.00

‘Nachora kwa maneno’ 6a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Sita katika shule za msingi. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa pia na wanafunzi wa Darasa la Saba.
Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Mashairi mepesi yaliyobeba maudhui mbalimbali.
  • Ubunifu na umahiri wa mtunzi katika kufinyanga lugha na kuipamba kwa misemo, tashibihi, tashihisi, takriri, maswali ya balagha, methali, istiari, mafumbo, taswira ili itoe ujumbe na mafunzo tofautitofauti.
  • Mshairi ametuingiza katika mitindo na bahari mbalimbali ya kuwasilisha ujumbe kama vile tathnia, tathlitha, tarbia, takhmisa, tasdisa, ngonjera, majigambo na ushairi huru.
  • Mashairi yaliyomo humu yanakidhi mahitaji ya silabasi.
  • Kitabu hiki kinaangazia masuala ibuka kama vile UKIMWI, afya, madawa ya kulevya, mazingira, teknolojia, ufisadi, maafa (ugaidi, ukame, mafuriko), uadilifu, jinsia, ajira na haki za watoto.
  • Urahisishaji wa ufahamu wa mashairi kupitia picha zenye rangi za kuvutia na zenye kusisimua.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 6a – Nachora kwa Maneno”

Your email address will not be published. Required fields are marked *