Wasakatonge

ISBN: 9789976400243Author: Muhammed Seif Khatib

KES 400.00

‘Wasakatonge’ ni diwani yake mpya yenye hazina ya mashairi yenye kubainisha sauti kali ya utetezi kwa wavujajasho wanaonyanyaswa, kuonewa, kudharauliwa na kunyonywa nguvu zao. Ni kauli inayobainisha uoza wa jamii na athari zake kwa wanyonge. Diwani hii ni chachu ya kuuzindua umma ulioghilibiwa iii udai haki yao dhidi ya wanasiasa madikteta wanaotumia nguvu za dola kwa maslahi yao.

  • Kitabu hiki mbali ya kuwa na kina kizito cha maudhui, fani yake pia imetia fora. Kwa wale wapendao ushairi “bulibuli” wa Kiswahili hiki ndicho kitabu chao. Wanafunzi wa sekondari, vyuo na vyuo vikuu watafaidika sana wasomapo diwani hii.
  • Mwishoni mwa kitabu hiki, kuna orodha ndefu ya maneno na maana yake ambayo bila shaka yatakuwa hazina kubwa katika kuyafaidi na kuyaelewa ipasavyo mashairi haya.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Wasakatonge”

Your email address will not be published. Required fields are marked *