Swahili Readers: 8c – Habari za Mawio

ISBN: 9780195733808Author: Masoud Nassor

KES 310.00

Je, huu ni uungwana? ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya shajara, tawasifu, barua, utambaji wa hadithi, mbinu rejeshi, hotuba kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dagolojia, misemo, methali. taharuki, tashihisi. tanakati za sauti, kejeli, vichekesho na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwatea wanafunzi katika mazingira ya afya, madawa ya kulevya, siasa. unyumba. ujirani mwema. uvumilivu, uadilifu. haki za watoto, kazi,uwajibikaji, utu, adabu, teknolojia, habari na mawasiliano. Mradi wa Kusoma ni mfutulizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 8c – Habari za Mawio”

Your email address will not be published. Required fields are marked *