Description
Toleo jipya la ‘Kiswahili Fasaha’ Kidato cha 1 limeboreshwa ili kukidhi mahitaji ya mwanafunzi kuambatana na silabasi. Maelezo ya mada zote za lugha yametolewa kwa lugha rahisi ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa hata anaposoma mwenyewe.
Katika kitabu hiki utapata:
- Mada zote zilizoorodheshwa kwenye silabasi Kidato cha 1.
- Mpangilio bora wa mada na ulio rahisi kufuatilia ya mada za isimujamii, sarufi, ufahamu na ufupisho, fasihi, insha mbalimbali na kusoma kwa kina na kwa mapana masuala ibuka mbalimbali.
- Mazoezi katika kila mada.
- Maswali ya marudio.
Reviews
There are no reviews yet.