Maskini Milionea

ISBN: 9780195738056Author: Ken Walibora

KES 540.00

Maskini Milionea na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu haumo tu katika uanuwai wa fani na maudhui, bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofautitofauti.

Hadithi hizi zilizoandikwa na waandishi kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki ni mchango mkubwa katika utanzu wa hadithi fupi za Kiswahili.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Maskini Milionea”

Your email address will not be published. Required fields are marked *