Description
Musa Kibaya anatimuliwa kutoka shule yake ya sita. Anahisi kwamba hii ni rekodi katika umri wake wa miaka kumi na mitano pekee, ingawa kwa namna fulani anaionea fahari. Hofu yake tu ni jinsi Mjomba wake, Silasi, atakavyolichukulia suala hili…
Silasi anapogundua kutimuliwa kwake, anampeleka Musa katika shule yake ya saba, Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Kumbe, hapo ndipo vituko vya Musa vinapoanza.
‘Musa’ ni kitabu cha kwanza katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
Reviews
There are no reviews yet.