Description
“Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!” Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Bw. Mukibi, hata hivyo anaiona hiyo kuwa hatua nzuri sawa na wavulana wa shule hiyo pindi wanapopata habari hizo za kusisimua.
Juli Sekabanja anaamua kwamba Musa na King Kong ndio wahusika hasa anaowahitaji ili kumsaidia kunasa genge la majasusi.
‘Musa kwenye Sokomoko’ ni hadithi ya tano katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
Reviews
There are no reviews yet.