Upeo wa Sarufi kwa Shule za Upili

ISBN: 9780195735604Author: Joyce Burudi, Nelly Wakio

KES 825.00

Upeo wa Sarufi ni kitabu kilichoandikwa kwa utaalamu kikimlenga mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa na mwanafunzi wa sekondari au wa chuo kama kitabu cha kiada au cha marejeleo. Upekee wa kitabu hiki ni kwamba: maelezo ya kina yametolewa kwa lugha sahili inayomwezesha mwanafunzi kuelewa vipengele vyote vya sarufi, hata bila ya usaidizi wa mwalimu. matumizi ya lugha katika muktadha yanatiEwa mkazo kuliko ukariri wa kanuni za sarufi. mifano ya matumizi katika sentensi imetolewa kwa kila m.ada. sehemu tata katika sarufi zimefafanuliwa. kina mazoezi zaidi ya 200 na majibu yake. kinatumia michoro na picha kurahisisha uelewa. kinashugh-ulikia silabasi nzima ya sarufi kwa sekondari, kama ilivyopendekezwa. Kitabu hiki kimeandikwa na wataalamu wa lugha walio na ukwasi wa tajriba ya uandishi na ufunzaji wa sarufi ya kiswahili

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Upeo wa Sarufi kwa Shule za Upili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *