Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 Kitabu cha Mwanafunzi

ISBN: 9780195742282Author: Francis Waititu et al

KES 825.00

Toleo jipya la ‘Kiswahili Fasaha’ Kidato cha 2 limeboreshwa ili kukidhi mahitaji ya mwanafunzi kuambatana na silabasi. Maelezo ya mada zote za lugha yametolewa kwa lugha rahisi ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa hata anaposoma mwenyewe. Katika kitabu hiki utapata:

  • Mada zote zilizoorodheshwa kwenye silabasi Kidato cha 2.
  • Mpangilio bora wa mada na ulio rahisi kufuatilia ya mada za isimujamii, sarufi, ufahamu na ufupisho, fasihi, insha mbalimbali na kusoma kwa kina na kwa mapana masuala ibuka mbalimbali.
  • Mazoezi katika kila mada.
  • Maswali ya marudio.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 Kitabu cha Mwanafunzi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *