Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 Kitabu cha Mwalimu

ISBN: 9780195742299

KES 735.00

‘Kiswahili Fasaha’, Mwongozo wa Mwalimu, Kidato cha 2 limeboreshwa ili kumpa mwalimu mwongozo wa kuimarisha maarifa yake ya kufundisha Kiswahili katika shule za sekondari. Mwongozo huu unaambatana na Kiswahili Fasaha, Kitabu cha Mwanafunzi, Kidato cha 2.

Kitabu hiki kitamwongoza mwalimu kwa kumdokezea jinsi ya kufundisha mada zote katika silabasi kwa kuzingatia mbinu zilizotafitiwa na kujaribiwa. Kila sehemu ina Mada, Shabaha, Nyenzo na Muhtasari wa funzo. Aidha kuna majibu yaliyopendekezwa. Majibu haya yamewekwa pamoja mwishoni mwa kila sura ili kurahisisha marejeleo.

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 Kitabu cha Mwalimu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *