Kivuli Cha Ndoto

ISBN: 9780195738308Author: Kenna Wasike

KES 340.00

Waama leo … leo ninaona miale ya mapambazuko ikinijia taratibu …” Matamanio ya ufanifu ndiyo huwa ndoto inayomwongoza na kumwandisi mwanadamu maishani. Kezi Pasuamende, anaambikwa ubakaji na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miaka 27. Anakosa kusoma hadi chuo kikuu ili aweze kuwa rubani. Je, ataweza kufanikisha ndoto yake ama atalazimika kukubali chochote ilimuradi aweze kuendesha maisha yake?

‘Kivuli cha Ndoto’ ni hadithi iliyoandikwa kwa mkono wenye ukwasi wa lugha na uwazi wa kimasimulizi. Ni hadithi ambayo haiishi hamu ya kusomwa tena na tena kwa sababu ya mvuto wake.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kivuli Cha Ndoto”

Your email address will not be published. Required fields are marked *