Description
‘Upeo wa Ufahamu na Ufupisho’ kwa Shule za Upili ni kitabu cha mazoezi na marejeleo kwa wanafunzi wa shule za upili. Kitabu hiki kipya katika uwanja huu kitamwongoza mwanafunzi kujiandaa kwa mazoezi ya ufahamu na ufupisho. Kina sehemu mbili kuu: Ufahamu na Ufupisho.
Katika kitabu hiki utapata:
- mada zote za ufahamu na ufupisho zilizoratibishwa kwenye silabasi.
- sura kumi na moja zinazoshughulikia mada mbalimbali za ufahamu na ufupisho.
- mazoezi ya kila kipengele kilichofundishwa.
- mazoezi kumi ya ziada.
- majibu ya maswali yote.
Kitabu hiki cha kipekee katika nyanja za ufahamu na ufupisho ni hazina kwa walimu pamoja na wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa KCSE.
Reviews
There are no reviews yet.