Kiswahili Fasaha Mwongozo wa Mwalimu Gredi ya 10

ISBN: 9789914447453

KES 1,100.00

Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.

Mwongozo huu wa mwalimu una:

  • Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi
  • Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa
  • Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo
  • Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji
  • Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
  • Nyaraka za kitaaluma
  • Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.

Mwongozo huu pamoja na Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanfunzi
Gredi ya 10 ni nyenzo muhimu zitakazokuwezesha wewe na wanafunzi wako kufaulu katika Mtaala wa Kiumilisi.

Oxford, mshirika wako katika ufanisi!

Buy from Nuria Kenya

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Fasaha Mwongozo wa Mwalimu Gredi ya 10”

Your email address will not be published. Required fields are marked *