Description
- Msingi bora wa maneno kwa watoto wadogo
- Kamusi ya kuaminika ya kuanzia kujifunza lugha ya Kiswahili
- Maneno muhimu 1700 no zaidi ya Kiswahili
- Maelezo wazi ya maneno
- Mifano ya namna maneno yanavyotumiwa katika sentensi
- Zaidi ya picha 700 za rangi kumsaidia mtoto kuelewa maana za maneno
- Sehemu maalumu ya mchezo wa lugha no mazoezi
Reviews
There are no reviews yet.