Kamusi Ya Msingi Swahili-English

ISBN: 9780195748895Author: Oxford

TZS 13,500.00

Je, ungependa kuifahamu lugha ya Kiingereza kama unavyoifahamu lugha ya Kiswahili? Je, ungependa kujua tafsiri za Kiingereza za maneno ya Kiswahili unayoyajua? Basi Kamusi ya Msingi Kiswahili-English itakusaidia.

Kamusi hii ina:

  • Mada kuu 27.
  • Maneno muhimu ya Kiswahili zaidi ya 1,800 na tafsiriza maneno hayo.
  • Wingi wa nomino.
  • Mifano rahisi ya sentensi katika Kiswahili na Kiingereza.
  • Michoro zaidi ya 1,200 ya kupendeza.

Enquire from Customer Service

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kamusi Ya Msingi Swahili-English”

Your email address will not be published. Required fields are marked *