Description
Juma, mhusika mkuu wa tamthilia hii, amebarikiwa na utajiri na utukufu, mke mzuri na mwema na binti mwadilifu. Ni mtu anayestahili furaha lakini mwenendo na tabia yake inamfanya asiwe na furaha wala buraha nyumbani wala nje.
Anatambua kuwa utukufu wa kweli hauji bila ya utu; kuwa bila ya kushirikiana na jamii na jamaa furaha daima itamwepuka. Anaamua kugeuza mwenendo wake, ayape BURIANI yaliyopita na kukaribisha mapya yajayo.
Reviews
There are no reviews yet.